Home Kitaifa Vijana wabunifu waililia Serikali kuwawezesha Mitaji ili watengeneze Majiko sanifu yaliyo rafiki...

Vijana wabunifu waililia Serikali kuwawezesha Mitaji ili watengeneze Majiko sanifu yaliyo rafiki kwa Mazingira

Wakizungumza katika Maonesho ya Nanenane yanaendelea katika Viwanja vya nyamongoro Mkurugezi wa kikundi hicho Bwana Ramadhani Mohamed Sengerema amesema wao kama Vijana Wana Imani na Serikali iliyopo Madarakani hivyo bhac wanaiomba Serikali iweze kuwawezesha Mitaji ya kuwasaidia katika kukuza Mitaji yao

Mohamed alisema wao uwezo wao Kwa Sasa wanazalisha Majiko 10 ambapo Majiko yanaisha Kwa siku Moja hivyo bhac endapo serikali itawasaidia watazalisha jiko1000 ndani ya Wiki 1 endapo wakiwezeshwa alisema kijana kwasababu uyo mtaji wa kuzalisha jiko10 mtaji unaweza ukakata

Hivyo basi tunaiomba serikali itusaidie Kwa Sababu hii kazi ya kuzalisha Majiko 10 inaweza kutupelekea kukata Tamaaa kazi zetu za kutengeza Majiko inatusaidia Sisi na Familia zetu inafika muda tunapata Cm za watu wa Mikoani kulingana na Ubora wa Majiko yetu yalivyo ni imara na Mazuri alisema Mkurugezi huyo.

Naye Halima Said Mkazi wa Kisesa Ambae ni miongoni mwao watu ambao wameshatumia Majiko hayo alisema ni Majiko Imara ya Yanadumu Muda Mrefu siyo kama Majiko yaliyozoeleka Mtaani alisema Halima Vijana wengi wanapoitimu wanatarajia kuajiliwa lakini uyu Mohamed amekuwa ni kijana Wa Tofauti Ambae ameweza kujiajili lkn pia na kuajili Vijana wenzake ikiwa ni
Pamoja na kuisaidia serikali kutatua.

Changamoto ya Ajira, Vijana hao wameiomba serikali ya Rais Samia Suluhu Hassani kuwawezesha Ili waweze kuongeza uzalishaji wa Majiko kwani kwa sasa wanatengeneza kiwango kidogo ambacho hakikidhi Mahitaji ya solo lao.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!