Home Kitaifa Kampuni ya Kalwan herbs yaja na Mwarobaini wa wenye Vitambi

Kampuni ya Kalwan herbs yaja na Mwarobaini wa wenye Vitambi

Akizungumza Jana jijini msemaji wa kampuni hiyo Bwana Gibuson Benson kuhusu Mwarobaini wa Vitambi Kwa wanaume na Wanawake ambalo limekuwa Tatizo sugu Kwa Watanzania katika Maonesho ya Nanenane ambayo Kanda ya Ziwa yanafanyika viwanja vya Nyamongoro Mwanza Maonesho haya yamejumuisha Kanda ya Mwanza, Kagera ,Geita, Shinyanga nk

Amesema Tatizo ilo linapekea Wanawake kupoteza mivuto lakini inapelekea kutojiamini alisema Watanzania watumie Fursa ya Maonesho haya kutembelea maeneo ya Nane Nane Ili kuweza kupata Elimu ya Nini?
Kifanyike Ili kuondokana Tatizo ilo alisema Bwana Gibuson Benson

Hata hivyo siyo Shida inayowapata wamama tu La! Inawapata na Wababa na hali hiii inawapelekea kukosa Nguvu za kiume na Magonjwa Mengine alisema Mtaalamu huyo. Niwaombe lengo la haya Maonesho ya Nane Nane kuwasaidia watu wote.

Niwaombe Watanzania wote kumpuza vyakula vya mafuta maana Ndio kichocheo kikubwa kinachosababisha kitambi hivyo bhac tujitaidi kuwa Makini Ili kuepusha haya madhara lkn pia tutembelee Maonesho haya maana vipo Vitu vyingi vya kujifunza ukiwa ni Pamoja na Ushauri ktk kilele Cha Maonesho haya ambayo ni Tarehe Nane Mwezi huu Yani Nane nane.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!