Home Kitaifa DKT. CHEMBA AWASILISHA TAARIFA YA HALI YA UCHUMI NA MPANGO WA MAENDELEO...

DKT. CHEMBA AWASILISHA TAARIFA YA HALI YA UCHUMI NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA 2023/2024

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza jambo nje ya ukumbi wa Bunge na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, baada ya Waziri huyo kuwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bi. Jenifa Omolo, pamoja na baadhi ya wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara hiyo.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (katikati) akifurahia jambo katika viwanja vya Bunge na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Natu El-maamry Mwamba na Kamishna wa Idara ya Sera ya Wizara hiyo, Bw. Elijah Mwandumbya, baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.
Baadhi ya Wakuu wa Idara, Vitengo na Taasisi za Wizara ya Fedha na Mipango, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, wakifuatilia uwasilishwaji wa Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!