Home Kitaifa NAIBU WAZIRI MASANJA ALIBARIKI JIJI LA MWANZA KUWA KITOVU CHA UTALII

NAIBU WAZIRI MASANJA ALIBARIKI JIJI LA MWANZA KUWA KITOVU CHA UTALII

Pamoja na miradi inayotekelezwa katika mkoa wa Mwanza sekta ya maliasili na utalii haijasahaulika na mkoa wa Mwanza umependekezwa kuwa kitovu cha utalii kuna ujenzi wa reli, stendi ya nyegezi na Nyamhongolo, kiwanja cha ndege mama Samia ana mipango mikubwa na Mwanza,Marry Masanja Naibu Waziri Maliasili na Utalii.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mary Masanja amesema, Mwanza Itakuwa ni jiji namba moja inayotambua uwekezaji unaotokana na sekta ya utalii faida ya utalii ni pamoja na kuongeza mnyororo wa thamani mgeni anapokuja Mwanza anapofia airpot utauza Samaki, machungwa, chakula mgeni atasafiri atalala mwenye hoteli atafaidika na kila mwana Mwanza atafaidika hii ni mipango ya serikali ya awamu ya sita tumshangilie Rais wetu maana ana mipango mikubwa ya kuifanya Mwanza kuwa kitovu cha utalii.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!