WANANCHI NJOMBE WAIOMBA TANESCO, REA KUONGEZA KASI YA USAMBAZAJI UMEME
Wananchi wa Mkoa wa Njombe ambao bado hawajafikiwa na huduma ya umeme wameiomba Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati...