TOENI MAFUNZO YANAYOZINGATIA SOKO LA AJIRA-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini watoe mafunzo yanayozingatia mahitaji halisi ya soko la...
WAZIRI JAFO AMMTEUA BW. ABDULMALIK MOLLEL KUWA MJUMBE WA BODI YA CBE
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo, amemteua Bw. Abdulmalik Mollel kuwa Mjumbe wa Bodi ya Uongozi ya Chuo cha Biashara...
MAENDELEO BANK PLC YAZINDUA “CLICK BANK SMILE “
Na Magrethy Katengu - Mzawa MediaDar es salaam
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Maendeleo Benki, Profesa Ulingeta Mbamba amesema kuwa Maendeleo Bank imendelea kutekeleza...
RAIS WA TFF APEWA SAA 72 KUOMBA RADHI.
Umoja wa Wazee wa Timu ya Yanga Mkoani Dodoma watoa Saa 72 kwa Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Bwana Wallace...
MCHNGERWA AMTAKA MKANDARASI WA DARAJA LA MBAMBE KUONGEZA JUHUDI ZA UJENZI.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi na Mbunge wa Rufiji, Mhe. Muhamed Mchengerwa, amemtaka mkandarasi wa kampuni ya Nyanza Road Works kuongeza kasi...
WAZIRI JAFO AAGIZA UCHUNGUZI WA BIASHARA ZINAZOENDESHWA KINYUME CHA SHERIA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameagiza kufanyika kwa tathmini ya utekelezaji wa mapendekezo ya Ripoti ya mazingira ya biashara baina...
JESHI LA POLISI ARUSHA LATOA UFAFANUZI KUHUSU KUPOTEA KWA DAVID GIPSON
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa katika Mitaandao na picha mjongeo ikimwonesha mwananchi mmoja aitwae...
SERIKALI YAWATAKA WANANCHI BUTIAMA KUJIFUNZA ELIMU YA FEDHA
Serikali imewataka Wananchi wa Wilaya ya Butiama, mkoani Mara, kujitokeza kwa wingi kushiriki katika mafunzo ya elimu ya fedha ili kujiongezea maarifa yatakayowasaidia kusimamia...
TBS YATOA VYETI NA LESENI ZA UBORA 2,402, WAJASIRIAMALI WADOGO WAKIWA 1,066.
Mkurugenzi Mkuu Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt Ashura Katunzi ameeleza kuwa jumla ya vyeti na leseni za ubora 2,402 vimetolewa kwa wazalishaji, miongoni...
MAENEO YA KIJAMII YAMEPEWA KIPAUMBELE KUFIKIWA NA UMEME – KAPINGA
Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini umetoa kipaumbele kwenye maeneo yanayotoa huduma za kijamii ikiwemo Shule, Taasisi,...