MIJADALA MIKUBWA YAKUBORESHA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI WA ELIMU KUFANYIKA MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
KONGOMANO kubwa la mijadala ya uboreshaji na ufundishaji kujenga uelewa kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari litafanyika kwa siku 3...
“IPO MIGOGORO ILIYOTUSHINDA TUMEKUJA KUKATA RUFAA” RC MAKONDA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Christian Makonda ametoa Wito kwa Wananchi wa Mkoa wa Arusha wenye migogoro mbalimbali ikiwemo ya Ardhi,Mirathi, Ndoa, Matunzo...