RAIS SAMIA AWAPAISHA WANAWAKE KATIKA SEKTA YA MADINI
📌 Dkt. Biteko asema uwezo wa wanawake sekta ya madini hautiliwi shaka
📌 Ushiriki wa wanawake katika madini kukuza mnyororo wa thamani
📌 Sh. Bilioni 10...
4R ZA DKT SAMIA YAWEZESHA WASANII KUPATA MIKOPO KWA MASHARTI RAHISI NDANI YA MFUKO...
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
MTENDAJI Mkuu wa Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania Bi Nyakaho Mahemba amesema kuwa Falsafa ya 4R za Dkt Samia kwa ujumla...
ASKOFU “DAO” KUTUMIA REDIO MPYA MUSOMA TETEMO FM KUINUA VIPAJI VYA SANAA YA VIJANA
Na Shomari Binda-Musoma
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la New Life Gospel Community Church Tanzania( NLGCCT) Daniel Ouma maarufu kama (Askofu Dao) amesema ataitumia redio mpya...
MKURUGENZI UFUATILIAJI NA TATHMINI WIZARA YA NISHATI AELEZA JINSI WIZARA INAVYOTOA FURSA KWA WANAWAKE
Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Tathmini Wizara ya Nishati, Bi. Anita Ishengoma amesema katika utekelezaji wa majukumu ya kisekta Wizara ya Nishati imetoa fursa za...
RAIS SAMIA: TANZANIA NI SALAMA KWA UWEKEZAJI, SERA ZA UWEKEZAJI NI RAFIKI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumamosi Machi Mosi, 2025 ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi...
RAIS SAMIA: MIRADI MIKUBWA KICHOCHEO CHA AJIRA KWA VIJANA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiendelea na ziara yake mkoani Tanga, amesema kuwa miradi mikubwa inayotekelezwa nchini itachangia...
SOKO LA PUGU MNADANI MZUNGUKO WA FEDHA KUPUNGUA KUTOKA BILION 1.2 HADI MILIONI 900...
Na Magrethy Katengu--Mzawa MediaDar es salaam
BAADHI ya Wafanyabiashara wa Ng'ombe wasio waaminifu wamekua chanzo cha Upotevu wa mapato Soko la Pugu Mnadani Dar es...
DC MWANGA WANAWAKE WANAPASWA KUJIAMINI NA KUITUMIKIA JAMII KWA HAKI
Na Ashrack Miraji Mzawa Media
Mwanga, Kilimanjaro – Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Mhe. Mwanahamis Munkunda, amewataka wanawake, hususan vijana, kutumia nafasi wanazozipata kwenye...
MIJADALA MIKUBWA YAKUBORESHA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI WA ELIMU KUFANYIKA MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
KONGOMANO kubwa la mijadala ya uboreshaji na ufundishaji kujenga uelewa kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari litafanyika kwa siku 3...
“IPO MIGOGORO ILIYOTUSHINDA TUMEKUJA KUKATA RUFAA” RC MAKONDA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Christian Makonda ametoa Wito kwa Wananchi wa Mkoa wa Arusha wenye migogoro mbalimbali ikiwemo ya Ardhi,Mirathi, Ndoa, Matunzo...