WANAWAKE TUNAPOPATA FURSA TUSIMAME NA TUTENDE HAKI – MKURUGENZI UNUNUZI NISHATI
Mkurugenzi wa Ununuzi Wizara ya Nishati, Bi. Marieta Kiago ametoa rai kwa Wanawake hususan vijana kuwa wanapopata nafasi za kufanyakazi kwenye maeneo na Taasisi...