MNEC EVARIST GERVES AKEMEA VIJANA WANAOWATUKANA VIONGOZI KUPITIA MAGROUP YA WHATSAPP
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (MNEC) kutoka Mkoa wa Geita, Evarist Gerves, amekemea vikali tabia ya baadhi ya vijana wa chama...