MAHIZA AZIONYA NGOs ZINAZOKIUKA MAADILI
Na Mwaandishi wetu Kilimanjaro
Muktasari:Mwenyekiti wa Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini, Mwantumu Mahiza, amesema kumekuwapo na ongezeko la mashirika yanayokiuka maadili...
WANANCHI WAENDELEA KUKUMBUSHWA KUCHANGIA NGUVU KAZI UJENZI WA SHULE ZA SEKONDARI MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wa jimbo la Musoma Vijijini wamekumbushwa kuendelea kuchangia nguvu kazi katika ujenzi wa shule za sekondari unaoendelea kwenye maeneo yao.
Ukumbusho huo...
PURA ENDELEENI KUWAVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA SHUGHULI ZA UTAFUTAJI MAFUTA NA GESI- KAPINGA
📌Ataka Duru ya Tano ya kunadi vitalu vya utafutaji wa mafuta na gesi asilia kuwa na matokeo chanya
📌Aipongeza PURA kuwashirikisha Watumishi kujadili mipango ya...
WATAALAM KUTOKA CUBA WATEMBELEA KRETA YA NGORONGORO KUTAFUTA SULUHU YA MIMEA VAMIZI.
Na Philomena Mbirika, Ngorongoro.
Ujumbe wa wataalam kutoka jamhuri ya Cuba wakiambatana watalaam wa uhifadhi kutoka Wizara ya Maliasilii na Utalii wametembelea bonde la kreta...
BUNGE LAMPA TANO RAIS KWA KUJENGA VITUO MAALUM VYA KUDHIBITI WANYAMA WAKALI NCHINI
Na John Mapepele
Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusikiliza kilio...
MRADI WA ELIMU WA CORE KUBORESHA NA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA SHULE ZA AWALI...
WIZARA Ya Elimu,Sayansi na Teknolojia itaendelea Kushirikiana na Wadau Mbalimbali wa Elimu hususani Taasisi na Mashirika Kuhakikisha Mazingira rafiki Kwa Kujifunzia na Ufaulu Unaongezeka...
RC MTANDA ASISITIZA UTOAJI WA HAKI BILA UPENDELEO UZINDUZI WA MSLAC MWANZA
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amewasihi viongozi wa ngazi mbalimbali mkoani humo na nchi kwa ujumla kuendelea kutoa haki kwa watu bila...
TANZANIA NA MISRI KUSHIRIKIANA KUKUZA SEKTA YA UTALII
Na Happiness Shayo- Dar es Salaam
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, zimekutana kujadiliana namna bora ya kushirikiana...