SERIKALI YAPIGA MARUFUKU ZAWADI NDANI YA BIDHAA ZA WALL PUTTY
Serikali, kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara, imepiga marufuku utaratibu wa wazalishaji na wasambazaji wa bidhaa za Wall Putty kuweka zawadi, fedha taslimu, vocha,...
DKT. BITEKO AWAASA WAISLAMU KUENDELEA KUHIFADHI QUR’AAN TUKUFU
📌 Aipongeza Al- Hikma kwa kukuza Mashindano ya kuhifadhi Qur’aan Tukufu
📌 Mashindano ya Qur’aan Tukufu kufanyika mwezi ujao
📌 Mashindano ya Qur'aan Afrika yawa Mashindano...
KIBAHA: BARAZA LA MADIWANI LAAGIZA KUWAUA MBWA WASIO NA WALEZI
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha wameiagiza Halmashauri hiyo kuwaua mbwa ambao hawana walezi kuepuka madhara ambayo yanaweza kutolea.
Wamefikia hatua hiyo...
” WASIRA”TUNAELEWA TATIZO LA BAJETI TANROADS KUKAMILISHA BARABARA ZA MKOA WA MARA
Na Shomari Binda-Rorya
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Bara Stephine Wasira amesema wanaelewa tatizo la ki bajeti kukamilisha ujenzi wa barabara za...
WALIPAKODI KATAVI WAKOSHWA NA UTENDAJI WA TRA WAMZAWADIA CG MWENDA
Walipakodi wa mkoa wa Katavi wameeleza kuridhishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri...