CG MWENDA APITA MLANGO KWA MLANGO KUZUNGUMZA NA WALIPAKODI IGUNGA
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda akiwa ziarani wilayani Igunga mkoani Tabora February 06 mwaka huu amepita mlango...
MAGIRI AKUSUDIA GROUP LA JAMII YA WANA MUSOMA KUWA NA MALENGO MAKUBWA ZAIDI YA...
Na Shomari Binda – Musoma
MWENYEKITI wa kundi la WhatsApp la jamii ya Wana Musoma, Benedict Magiri, amesema kuwa kusudi lake pamoja na viongozi wenzake...
RAMADHANI MSOMI AWAPONGEZA VIONGOZI WA GROUP LA KIJAMII LA WANAMUSOMA KWA KUWAUNGANISHA WATU
Na Shomari Binda – Musoma
MKURUGENZI wa Hoteli ya Le Grand Victoria ya mjini Musoma, Ramadhani Msomi, amewapongeza viongozi wa kundi la WhatsApp la Jamii...
WALIPAKODI MKOANI TABORA WAAHIDI USHIRIKIANO NA TRA
Walipakodi mkoani Tabora wameahidi kuendelea kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kulipa Kodi kwa hiari na kuwafichua Wafanyabiashara wanaokwepa Kodi.
Wakizungumza kwa nyakati...
KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA UHURU WILAYANI URAMBO KIMEKAMILIKA – KAPINGA
📌 Kinalenga kuboresha hali ya upatikanaji umeme Urambo na maeneo mengine
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema ujenzi wa kituo cha kupokea na...