WANANCHI WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA MIRADI KUUNGANISHA UMEME – MHE. KAPINGA
📌 Lengo ni wananchi kuepuka gharama inayotokana na kuunganisha umeme wakati miradi imekamilika
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga ametoa rai kwa wananchi kuunganisha...