Home 2025 January 31

Daily Archives: January 31, 2025

MAGEUZI SEKTA YA MAGHALA: DKT. JAFO AZINDUA KAMERA ZA KIDIJITALI NA STIKA ZA UTAMBUZI!

0
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameitaka Bodi ya Usimamizi na Stakabadhi za Ghala kuusimamia Mfumo wa Matumizi ya Kamera...

KKKT KUSHIRIKIANA NA TRA KUTOA ELIMU YA KODI

0
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) linatarajia kuanza kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutoa elimu ya Kodi makanisani ili kuongeza idadi...

DODOMA YAZIDI KUNG’ARA KATIKA UWEKEZAJI

0
Mradi wa kiwanda cha kuzalisha mafuta ya kupikia, unaojengwa katika Kijiji cha Veyula, Dodoma, umepiga hatua kubwa tangu uliposajiliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania...

KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 48 CCM FURAHIKA-VETA WATOA NENO

0
Na Magrethy Katengu-Dar es salaam Ikiwa imebakia siku kadhaa kuadhimisha miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM),tangu kuzaliwa kwake,Februari 5 ,1977 Chuo cha Ufundi Furahika...

BIASHARA SAA 24 KUANZA RASMI FEBRUARI 22 MWAKA HUU

0
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema shughuli za biashara zitaanza kufanyika rasmi Kwa saa 24 mkoani...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma January 31, 2025 - Mzawa Online,
Karibu Tukuhudumie..
Joseph Nelson
Paul Emmanuel
9 hours
Mzawa Online
Mzawa Media
error: <b>Alert: </b>Content selection is disabled!!