KARATU WAHAMASISHWA KUSAJILI VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
Serikali imetoa rai kwa wananchi kuhakikisha kuwa vikundi vya huduma ndogo vya fedha vinavyojulikana kama VICOBA vinasajiliwa kwa mujibu wa Sheria ya Huduma Ndogo...