WAZIRI MKUU AMWAKILISHA MHE. RAIS DKT SAMIA KATIKA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS WA...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Msumbiji Daniel Chapo kwenye makazi ya Rais, Ponta Vermelha, Maputo nchini Msumbiji. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais...