Home 2024
Yearly Archives: 2024
MAHAFALI YA 18 DIT KUNDI LA KWANZA YAFANA , PROF. MUSHI ATOA NENO
Na Mwandishi Wetu.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia masuala ya Sayansi Profesa Daniel Mushi ameipongeza Taasisi ya Teknolojia Dar...
MRADI WA MAJIKO YA GESI YA RUZUKU KUOKOA MAZINGIRA NA AFYA KILIMANJARO
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatarajia kusambaza jumla ya majiko ya gesi (LPG) ya kilo sita 19,530 kwa bei ya ruzuku ya asilimia 50...
GARI HII HAPA INAKUSUBIRI , MAGIFTI YA KUGIFTI AWAMU YA PILI SOMA HAPA NA...
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam, 5 Desemba 2024 – Kampuni inayoongoza ya mtindo wa maisha kidijitali nchini Tanzania, Yas, na Mixx by Yas, inayo...
CCM GEITA YATOA ONYO KWA VIONGOZI WANAOKIUKA WAJIBU
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita, Gabriel Nyasilu, amesema chama hakitamuonea haya kiongozi yeyote aliyechaguliwa kuwa Mwenyekiti...
DKT. JAFO ATEMBELEA BANDA LA REA KWENYE MKUTANO WA KIKANDA WA NISHATI 2024
📌Aipongeza REA kwa kufikisha umeme vijijini
📌Asisitiza matumizi ya nishati safi ya kupikia
📌Apokea taarifa ya miradi ya REA inayoendelea
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt....
WATU MILIONI 600 AFRIKA HAWAJAFIKIWA NA UMEME; TUTUMIE RASILIMALI ZILIZOPO KUBADILISHA MAISHA – DKT....
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Bara la Afrika lina zaidi ya watu milioni 600 ambao bado hawajafikiwa...
MKIFUATA USHINDANI KATIKA SOKO MTAZALISHA BIDHAA BORA- JAFFO
Waziri wa Viwanda na Biashara wa Tanzania Dkt. Selemani Jafo amewataka wawezekaji wazawa na wafanyabiashara kuhakikisha wanatumia fursa ya masoko mbalimbali ya ndani na...
RC BATILDA AONGOZA WANANCHI KUPIGA KURA UCHANGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Na Boniface Gideon
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Batilda Burihani , tarehe 27 ameongoza wananchi katika zoezi la kupiga kura la uchaguzi wa Serikali za...
WANAJIOSAYANSI NGUZO MUHIMU KUFANIKISHA VISION 2030
Na Denis Chambi Mzawa Media
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Ndugu Msafiri Mbibo amesema kuwa wanajiosayansi ni nguzo muhimu katika kufanikisha dhana ya Vision...
DKT. BITEKO ATEMBELEA BANDA LA REA KATIKA MKUTANO WA NISHATI 2024 JIJINI ARUSHA
📌Apokea taarifa ya miradi ya REA inayoendelea nchini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametembelea banda la Wakala wa Nishati...