Home 2024
Yearly Archives: 2024
UWEKEZAJI SEKTA YA NISHATI TANZANIA KUNUFAISHA NCHI WANACHAMA EAPP – MHE.KAPINGA
📌 Ashiriki Mkutano wa Nchi Wanachama wa EAPP nchini Kenya
📌 Aeleza jinsi Tanzania inavyotekeleza miradi ya umeme kwa ufanisi
📌 Asema zaidi ya asilimia 99...
DC SUMAYE AONGOZA WANANCHI KUFANYA USAFI MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU
Mkuu wa wilaya ya Lushoto Zephania Sumaye aongoza wananchi Katika kufanya usafi maeneo Mbalimbali ya wilaya ya Lushoto na zoezi la upandaji miti kwenye...
GENERATION SAMIA YAATHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU KWA KUFANYA USAFI DODOMA
Na Hamida Ramadhan, Dodoma
Dodoma, Desemba 9 - Kundi la vijana wa Generation Samia (Gen S), linalojulikana kama "Kizazi cha Mafanikio," limeadhimisha miaka 63 ya...
MPANGO KAZI WA KITAIFA KUKOMESHA MAUAJI YA WENYE UALBINO WAPOGEZWA NA WADAU
Na Hamida Ramadhan, Dodoma
WADAU mbalimbali wamejitokeza kupongeza hatua ya serikali kuzindua Mpango Kazi wa Kitaifa wa Haki na Ustawi kwa Watu Wenye Ualbino, wakisisitiza...
MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA ZAKABILIWA NA CHANGAMOTO ZA USIMAMIZI.
HAMIDA RAMADHANI MZAWA ONLINE MEDIA DODOMA
NAIBU Waziri wa TAMISEMI, Dkt.Festo Dugange, amesema Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini zinakabiliwa na changamoto nyingi, zikiwemo uhaba...
CCM YASISITIZA MAPAMBANO DHIDI YA UJINGA MALAZI NA UMASIKINI SIKU YA UHURU
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma Jawadu Mohamed amesema kuwa chama hicho kimeendelea kupambana na maadui watatu...
“WALIOHUSIKA NA SHAMBULIO LA WAFANYAKAZI WA TRA HAWATAACHWA” – RC CHALAMILA
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila amesema wahusika wote walioshiriki katika shambulio la wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
KAMISHNA MKUU WA TRA AMESEMA KITENGO CHA KUPAMBANA NA MAGENDO KITAFANYA KAZI NA POLISI
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) BW. Yusuph Mwenda amesema kuanzia sasa oparesheni zote zitakazofanywa na kitengo cha kudhibiti wakwepa kodi (kitengo...
RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO YA VIONGOZI WA SERIKALI NA KUFANYA UTEUZI MPYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...