Home 2024
Yearly Archives: 2024
BASHUNGWA AAGIZA MALALAMIKO YA WANANCHI KUFANYIWA KAZI NA MFUMO WA UTOAJI TAARIFA KUBORESHWA.
Na Mwandishi Wetu,DODOMA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa (Mb) ameiagiza Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Ndani kusimamia Kitengo kinachoshughulikia Malalamiko...
“TAMASHA KUBWA LA SAME UTALII FESTIVAL SEASEON 2 KUFANYIKA DESEMA 20 HADI 22 SAME...
Na Ashrack Miraji Mzawa Online
TAMASHA Kubwa la Same Utalii Festival Season 2 linatarajiwa kufanyika Desemba 20 hadi 22 mwaka huu katika wilaya ya...
TCCIA NA CHEMBA YA KIMATAIFA YA DUBAI YASAINI HATI YA MAKUBALIANO BIASHARA NA UWEKEZAJI
Na Magrethy Katengu-
Dar es salaam
Chemba ya biashara kimtaifa ya Dubai imesaini hati ya makubaliano ( MoU ) na Chemba ya biashara ,Viwanda, Kilimo Tanzania...
WATU WENYE UALBINO BADO WANAPITIA MADHARA MBALIMBALI.
NA HAMIDA RAMADHAN DODOMA
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Foundation For Disabilities Hope (FDH) Maiko Salali amesema watu wenye ualibino bado wanapitia madhira mbalimbali ikiwemo...
HISTORIA NYINGINE YAANDIKWA MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE (JNHPP)
📌Dkt.Biteko azindua mradi wa usafirishaji umeme (kV 400) Chalinze-Dodoma na upanuzi wa vituo vya umeme Chalinze na Zuzu
📌Kuwezesha umeme kutoka JNHPP kufika Kanda mbalimbali...
JESHI LA POLISI DODOMA LAWAKUMBUKA WATOTO WENYE UHITAJI
Na Hamida Ramadhan Dodoma
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amesema licha ya kutokea kwa matukio mfululizo ya vitendo vya ukatili wa kijinsia lakini...
WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA) WAGAWA MAJIKO YA GESI KWA WENYE ULEMAVU BUKOMBEÂ
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wameendesha mafunzo maalum kwa watu wenye ulemavu katika Wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita, kwa lengo la kuhamasisha matumizi...
REA YAENDESHA MAFUNZO NA KUGAWA MAJIKO YA GESI KWA WATU WA MAKUNDI MAALUM WILAYANI...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA); tarehe 10 Desemba, 2024 imeendesha mafunzo maalum kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kushirikiana na Taasisi ya...
TANESCO TUNATHAMINI WADAU WA MAENDELEO – MHA. NYAMO-HANGA
📌 Asema Serikali inaangalia njia bora ya kushirikisha Sekta Binafsi katika Ujenzi na Mifumo ya usafirishaji umeme
📌 Aeleza faida za Tanzania kufanya biashara katika...
YAS ( ZAMANI TIGO ) WASHINDA TUZO MTANDAO WENYE KASI ZAIDI NCHINI KWA MARA...
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya Mawasiliano ya YAS TANZANIA @yastanzania_ imeshinda Tuzo ya kuwa kampuni namba moja ya Mawasiliano yenye mtandao wa Internet wenye kasi...