Home 2024
Yearly Archives: 2024
DKT. BITEKO ASHIRIKI HAFLA YA UWEKAJI WAKFU KANISA SDA – MAGOMENI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki hafla ya uwekaji Wakfu Jengo la Kanisa la Waadventista wa Sabato Magomeni...
KAMPUNI YA YAS ( ZAMANI TIGO ) YABADILISHA MAISHA YA HUYU DADA WA KAZI...
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam, 13 Desemba 2024: Safina Selasi Mgala anayefanya kazi za ndani wa Tegeta jijini ndiye aliyeibuka mshindi wa shilingi milioni...
KAMPUNI YA YAS ( ZAMANI TIGO ) YADHAMIRIA KUWAWEZESHA WATOTO WA KIKE KATIKA TEHAMA
Na Mwandishi Wetu.
Katika kuunga mkono juhudi za serikali za kuhimiza wasichana kusoma masomo ya sayansi, taasisi ya Apps and Girls ya jijini Dar es...
MBUNGE BYABATO AWAFARIJI WATOTO YATIMA 200 KUPITIA TAMASHA LA BUKOBA MJINI MPYA FESTIVAL 2024
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wamewakutanisha watoto yatima 200 wanaoishi katika vituo vya watoto yatima...
HOTEL MPYA GEITA YAVUTIA WAWEKEZAJI NA KUBORESHA SEKTA YA UTALII
Mkoa wa Geita umeendelea kusonga mbele kiuchumi kufuatia uzinduzi wa hoteli mpya ya Desire, iliyopo Manispaa ya Geita, ambayo inatarajiwa kuboresha huduma za kitalii,...
NSSF YATOA SEMINA KWA WAAJIRI WA SEKTA BINAFSI UBUNGO
Na MWANDISHI WETU,Dar es Salaam. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umetoa semina kwa waajiri wa sekta binafsi wanaohudumiwa na Ofisi ya...
WAJASILIAMALI ZAIDI YA 1000 WAMEPATIWA ELIMU YA FEDHA NA NMB KATIKA KUMBUKIZI YA BIBI...
Wajasiliamali na Vijana zaidi ya 1000 wamepatiwa elimu ya fedha na kufungua akaunti za Banki ya NMB katika siku tatu za tamasha la kumbukizi...
TANZANIA NA INDONESIA ZAJADILI FURSA ZA UWEKEZAJI NCHINI
📌 Dkt.Mataragio aongoza majadiliano na kampuni ya Pertamina Indonesia
📌 Wajadili uwekezaji katika Nishati Mbadala, Mkondo wa Juu wa Petroli, Uzalishaji mbolea
Timu ya Serikali ya...
TANZANIA NA INDONESIA ZAJADILI FURSA ZA UWEKEZAJI NCHINI
📌 Dkt.Mataragio aongoza majadiliano na kampuni ya Pertamina Indonesia
📌 Wajadili uwekezaji katika Nishati Mbadala, Mkondo wa Juu wa Petroli, Uzalishaji mbolea
Timu ya Serikali ya...
WAKUU WA IDARA ZA UTAWALA NA RASILIMALIWATU SERIKALINI WAITWA KUSHIRIKI KIKAO KAZI
Na Hamida Ramadhan matukio Daima app Dodoma
KAIMU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Xavier Daudi amewataka Wakuu...