Thursday, September 19, 2024
Home 2024

Yearly Archives: 2024

SERIKALI YAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI

0
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita itahakikisha inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara na wawekezaji...

TOENI TAARIFA ZA BIDHAA ZISIZO RASMI – MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania watoe taarifa kwa mamlaka husika pindi wanapokuta kuna bidhaa zisizo rasmi zimeagizwa kutoka nje, zinazalishwa au zinasambazwa nchini. Ametoa...

RC MTAMBI AWATAKA WANANCHI KUITUMIA HAIPPA PLC KUONDOA UMASIKINI

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amewataka wananchi kujisajili na kujiunga na kampuni ya HAIPPA PLC ili kujikwamua kiuchumi. Kauli hiyo...

CHATANDA ASIKITISHWA MADIWANI VITI MAALUM MARA KUGOMEA HARAMBEE YA UWT KUJIKWAMUA KIUCHUMI

0
Na Shomari Binda-Tarime MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM ( UWT ) Taifa Merry Chatanda amesikitishwa na kitendo cha baadhi ya madiwani wa viti...

TARURA IMEJIPANGA KUBORESHA MTANDAO WA BARABARA

0
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mjini (TARURA) imejipanga kuboresha mtandao wake wa barabara kwa kuziwekea lami na nyingine changarawe kwa viwango ambavyo zitadumu...

BUSARA NA HEKIMA ZA RAIS SAMIA ZIMEZIDI KIWANGO CHA KAWAIDA- RC MAKONDA

0
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi mwenye...

TIBA ASILI KEMEENI VITENDO VYA UKATILI – RC MTANDA

0
Na WAF - MWANZA Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Saidi Mtanda amewataka watoa huduma za afya kwa njia ya tiba asili nchini kushirikiana na...

RAIS SAMIA AREJEA JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA ARUSHA

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameondoka Jijini Arusha kupitia uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA), kurejea Dar Es...

WAZEE WATAKIWA KUKEMEA VIJANA KUTOJIHUSISHA NA RUSHWA KIPINDI CHA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

0
Ashrack Miraji (Demokrasi) Kilimanjaro Wazee Wilayani Same wametakiwa kukemea vijana wao kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa kujiepusha na vitendo vya kupokea au kutoa rushwa...

MDAU WA MAENDELEO WILAYANI SAME ATOA NUKUU YA MAISHA KWA WANANCHI.

0
Na Dickson Mnzava, Same. Simulizi: Ndoto yangu haikuwa Kweli. Ndoto yangu ilikuwa ya kupaa juu, kufikia vilele vya mafanikio. Niliona maono yangu yakiwa hai, yakinifanya nijiangalie...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma 2024,
Karibu Tukuhudumie..