Home 2024
Yearly Archives: 2024
TUTAWASAIDIA KUONDOA VIKWAZO VYA KIBIASHARA – CG MWENDA
Kilimanjaro,
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda amewaahidi wafanyabiasha na watoa huduma mbalimbali nchini kuwa Serikali ipo kwaajili ya kuweka...
CG MWENDA AWATUNUKU WALIOPANDA MLIMA KILIMANJARO
Wafanyakazi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) waliopandisha Bendera yenye Picha ya Rais na ujumbe wa Kodi kwenye Kilele cha Mlima Kilimanjaro wamekabidhiwa...
KUWENI BARAKA, SIO KITUNGUU KUWATOA MACHOZI WENGINE – DKT. BITEKO
📌 Amwakilisha Rais Samia hafla ya kutabaruku kanisa SDA- Magomeni
📌 Ataka watu kutengenezeana furaha badala ya kuumizana
📌 Ahimiza Mshikamano wa Taifa ili kuleta maendeleo
Na...
KAMISHNA MKUU WA TRA AAHIDI USHIRIKIANO KWA WALIPAKODI ARUSHA
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda ameahidi kuendelea kushirikiana na Walipakodi mkoani Arusha na kueleza kuwa katika mwezi Disemba...
“ZIARA ZA CG MWENDA KWA WALIPAKODI KULETA MAPINDUZI YA KIKODI “
Baadhi ya Walipakodi mkoani Arusha wameshangazwa na kitendo cha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda kuwatembelea katika shughuli zao...
EQUITY BENKI NA ADC TANZANIA KUWASAIDIA WANAWAKE KUONGEZA UWEZO KIBIASHARA
Na Mwandishi Wetu.
Benki ya Equity Tanzania kwa kushirikiana na Kampuni ya ADC Tanzania pamoja na African Fund wameanzisha programu maalumu ya mafunzo ya elimu...
DKT. BITEKO ASHIRIKI HAFLA YA UWEKAJI WAKFU KANISA SDA – MAGOMENI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki hafla ya uwekaji Wakfu Jengo la Kanisa la Waadventista wa Sabato Magomeni...
KAMPUNI YA YAS ( ZAMANI TIGO ) YABADILISHA MAISHA YA HUYU DADA WA KAZI...
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam, 13 Desemba 2024: Safina Selasi Mgala anayefanya kazi za ndani wa Tegeta jijini ndiye aliyeibuka mshindi wa shilingi milioni...
KAMPUNI YA YAS ( ZAMANI TIGO ) YADHAMIRIA KUWAWEZESHA WATOTO WA KIKE KATIKA TEHAMA
Na Mwandishi Wetu.
Katika kuunga mkono juhudi za serikali za kuhimiza wasichana kusoma masomo ya sayansi, taasisi ya Apps and Girls ya jijini Dar es...
MBUNGE BYABATO AWAFARIJI WATOTO YATIMA 200 KUPITIA TAMASHA LA BUKOBA MJINI MPYA FESTIVAL 2024
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wamewakutanisha watoto yatima 200 wanaoishi katika vituo vya watoto yatima...