Home 2024
Yearly Archives: 2024
TBS WASHIRIKI MAONESHO YA 21 YA WAHANDISI TANZANIA KWA KISHINDO
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeshiriki katika Maonesho ya 21 ya Wahandisi Tanzania kwa kutoa elimu kwa wahandisi kuhusu uwepo mashine bora na za...
WAZIRI JAFO AWAPONGEZA TBS KWA KUTATUA KERO ZA WATANZANIA , AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI
.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo akishuhudia shughuli ya kula kiapo kwa...
WANANCHI NYATWALI WAMUAHIDI RC MTAMBI MATUMIZI SAHIHI FEDHA ZA FIDIA
Na Shomari Binda- Bunda
WANANCHI wa Kata ya Nyatwali wilayani Bunda wamemuahidi mkuu wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambj matumizi sahihi ya fedha za...
DC RUFIJI ALA KIAPO, RC KUNENGE ATOA MAAGIZO
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amewaagiza Wakuu wa Wilaya wa mkoa huo kufanya kazi kwa kushirikiana kulingana na uwezo wao, huku wakifanya...
WIZARA YA MALIASILI YAZIDI KUWA TISHIO KWENYE MICHEZO YA KIRAFIKI KUELEKEA SHIMIWI 2024
Na. John Bera - Dodoma.Wizara ya Maliasili na Utalii imeibuka mshindi kwenye michezo mitatu ya kirafiki iliyochezwa leo kwenye Viwanja vya Vijana vilivyopo Jijini...
UJENZI WA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI WASHIKA KASI
Na Shomari Binda-Musoma
UJENZI wa maabara 3 za masomo ya sayansi kwenye shule za sekondari jimbo la Musoma vijijini ili kuwafanya wanafunzi kusoma masomo hayo.
Kasi...
DC SAME AKABIDHI VYETI KWA TAASISI AMBAZO ZIMEFANYA VIZURI KWENYE UKUSANYAJI MAPATO
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro imetoa vyeti vya pongezi kwa Taasisi ambazo zimefanya vizuri kwenye ukusanyaji...
KUBECHA AINGIA KWA KISHINDO TANGA, ZIARA ZAKE KWENYE TAASISI ZA DINI ZAWAFURAHISHA WANATANGA
Ashrack Miraji Tanga
Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Japhari Kubecha, ameanza ziara zake za kukutana na makundi mbalimbali ya kijamii, zikiwemo taasisi za kidini.
Mhe....