Wednesday, February 5, 2025
Home 2024

Yearly Archives: 2024

RAIS DKT.MWINYI ASHUHUDIA KARAFUU ZA MAGENDO BANDARINI WETE.

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika ziara ya kushtukiza...

DKT. BITEKO: SERIKALI ITAENDELEA KUWA SIKIVU KUSIKILIZA MAONI YA WANANCHI ILI KUSTAWISHA DEMOKRASIA NCHINI

0
Na Magrethy Katengu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuwa sikivu kusikiliza maoni yote yanayotolewa na wananchi...

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA IMEANZA VIKAO

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeanza Vikao vyake leo tarehe 03 Januari 2024. Aidha Kamati hiyo pamoja na mambo...

SMZ IMEJENGA SKULI ZA GHOROFA MIJINI NA VIJIJINI

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imejenga Skuli za kisasa za ghorofa Mijini, Vijijini pamoja na...

MBUNGE MATHAYO AHAIDI UMEME WA ELFU 27 KWA WANANCHI MTAA WA BWERI BUKOBA

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo amewahakikishia wananchi wa mtaa wa Bweri Bukoba kupata umeme wa gharama nafuu. Amesema umeme huo...

MKUTANO HUU USIWE WA MAPAMBIO NA KUGEUZA KUWA MUHURI WA KUWASILISHA MAWAZO YA WATU...

0
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, amefungua Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa unaoshirikisha wadau wa Demokrasia ya...

SERIKALI YASAINI MIKATABA 6 YA UWEKEZAJI MAHIRI WA WANYAMAPORI YENYE THAMANI YA DOLA ZA...

0
Na Magrethy Katengu Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) wametiliana saini ya mikataba sita ya uwekezaji katika Maeneo...

DIWANI KATA YA MSHEWA AMEISHUKURU SERIKALI KUWAJENGA MABWENI MAWILI KATIKA SHULE YA SEKONDARY KWIZU

0
Mheshimiwa Diwani wa kata ya Mshewa Gaitan Mkwizu amesema wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Sekondari Kwizu kata ya Mshewa Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro wameondokana...

RAIS DKT.MWINYI AMEHANI FAMILIA YA SHOMARI

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mama Mariam Mwinyi amehani familia ya Marehemu Shomari Khamis Shomari...

RAIS DKT.MWINYI AWASILI PEMBA.

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mama Mariam Mwinyi amewasili Pemba kwa ziara ya kikazi ataweka...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma 2024 - Mzawa Online - Page 149,
Karibu Tukuhudumie..