Sunday, December 22, 2024
Home 2024

Yearly Archives: 2024

RAIS DKT.MWINYI AMEHANI FAMILIA YA SHOMARI

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mama Mariam Mwinyi amehani familia ya Marehemu Shomari Khamis Shomari...

RAIS DKT.MWINYI AWASILI PEMBA.

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mama Mariam Mwinyi amewasili Pemba kwa ziara ya kikazi ataweka...

CCM HATUNA SABABU YA KUTOMPA RAIS SAMIA AWAMU YA PILI-KINANA

0
*Ni baada ya Waziri Mkuu kuomba fomu ya urais iwe moja ya Dk Samia 2025. MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulurhman...

RAMLI CHONGANISHI IKOMESHWE

0
Na Neema Kandoro Mwanza ZAIDI ya waganga wa tiba asili 450 Mkoani Mwanza wametaka kuwepo na njia madhubuti kuzuia waganga wanao piga ramli chonganishi ambazo...

KINANA AWASILI RUANGWA, KUWA MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA CCM WILAYANI HUMO.

0
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewasili wilayani Ruangwa kwa ziara ya kikakazi ambapo pamoja na mambo mengine atakuwa mgeni rasmi...

MUIGIZAJI KUTOKA INDIA ALIVYOSHIRIKI MBIO HIZI ZA WATANZANIA NA WAHINDI

0
Desemba 31 , 2023 Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amehitimisha rasmi Mbio za Riadha zilizoandaliwa na Umoja wa Nchi za...

KINANA ASHAURI WANANCHI WAPEWE NAFASI KUAMUA MASUALA YA MAENDELEO YAO

0
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdulrahman Kinana ameshauri kuwa umefika wakati mambo ya msingi yanayohusu maendeleo ya wananchi lazima yaamuliwe na yatokane na...

TCCIA KUMSAIDIA RAIS SAMIA KUKUZA UCHUMI WA TAIFA KUPITIA SEKTA BINAFSI

0
-SALAMU ZA MWAKA MPYA ALIZOTOA ZAWAGUSA Na Shomari Binda-Musoma CHEMBA ya Biashara,Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) imeahidi kumsaidia Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kukuza uchumi wa taifa...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma 2024,
Karibu Tukuhudumie..