Monday, December 23, 2024
Home 2024

Yearly Archives: 2024

ASILIMIA 60 YA WANANCHI WAPATA HUDUMA ZA AFYA NDANI YA KM 5 MWAKA 2023

0
Na Magrethy Katengu Serikali kupitia Wizara ya Afya katika Kipindi cha mwaka 2023 imejitahidi kwa kusogeza huduma kwa wananchi kwani asilimia 60 ya wananchi wanapata...

“WASOMA DIRA KUWENI MAKINI” AWESO

0
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amewataka wasoma Dira za Maji katika mamlaka za maji nchini kuwa makini, waaminifu na kutenda haki katika...

AHADI YA MBUNGE MATHAYO UCHIMBAJI WA MITARO ENEO LA KARIAKOO YAANZA KUTEKELEZWA

0
Na Shomari Binda-Musoma AHADI iliyotolewa wiki iliyopita na mbunge wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo ya uchimbaji wa mitaro kwaajili ya kupitisha maji imeanza...

TPA YAVUKA LENGO WALILOJIWEKEA KATIKA KIPINDI CHA MIEZI 6 YAVUNJA REKODI

0
Na Magrethy Katengu BANDARI ya Dar es Salaam katika kipindi cha mwezi Julai hadi Desemba 2023 imefanikiwa kufanya huduma zaidi ya malengo yake ambapo imehudumia...

MUWASA YAAGIZA MABOMBA KUKAMILISHA USAMBAZAJI MAJI JIMBO LA MUSOMA MJINI

0
Na Shomari Binda-Musoma MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA) imeagiza mabomba kukamilisha usambazaji maji kwa asilimia 100 jimbo LA Musoma mjini. Kauli...

SERIKALI YATAMBUA UMUHIMU WA WANANCHI WAKE KUTOA MAONI MASUALA YA KITAIFA

0
Na Magrethy Katengu Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema inatambua umuhimu wa wananchi kushiriki katika maamuzi yanayohusu masuala...

TANZANIA YAJA NA MKAKATI WA KUWA KITOVU CHA UONGEZAJI THAMANI MADINI KWA NCHI ZA...

0
Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amesema Tanzania imedhamiria kuwa kitovu cha uchenjuaji na uongezeaji thamani madini kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati...

TIGO ZANTEL WADHAMINI MAONESHO YA 10 YA BIASHARA ZANZIBAR

0
Mkurugenzi wa kanda Tigo Zantel, Aziz  Said Ali, akimuelezea Mfanyabiashara wa Mwani,  Bwn. Jaha Haji Khamis kuhusu huduma ya Mjasiriamali box katika maonesho ya...

TANZANIA INAENDA SAMBAMBA NA MAPINDUZI YA NNE MAENDELEO YA VIWANDA

0
Mradi wa Kongani ya kisasa ya viwanda Modern Industrial Park ,Disunyara ,Mlandizi Kibaha, Mkoani Pwani (KAMAKA) inayojenga viwanda 202 katika eneo la ukubwa wa...

RAIS SAMIA ARIDHIA UTEKELEZAJI MRADI WA MAJI WA ZIWA VICTORIA KUFIKISHWA WILAYANI USHETU

0
Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameridhia kuanza kwa utekelezaji wa kufikisha mradi wa maji...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma 2024,
Karibu Tukuhudumie..