Sunday, December 22, 2024
Home 2024

Yearly Archives: 2024

DKT. BITEKO ASHIRIKI SHEREHE YA KUWEKWA WAKFU NA KUSIMIKWA ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA...

0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto  Biteko leo anashiriki Sherehe ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo...

MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI NA WANANCHI WENGINE 463 WAHAMA HIFADHI YA NGORONGORO .

0
Na Mwandishi wetu, NCAA. Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro ambaye pia ni Diwani wa kata ya Olbalbal iliyopo ndani ya hifadhi ya...

WAZIRI KAIRUKI, DKT. ABBASI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA MAONO MAKUBWA KWENYE UHIFADHI NA UTALII

0
Ikiwa leo ni miaka mitatu tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Waziri wa Maliasili na...

WATUMISHI OFISI YA WAZIRI MKUU WATAKIWA KUENDELEA KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA UBUNIFU

0
Waziri Wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera ,Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa Baraza la Wafanyakaziwa Ofisi hiyo,kupitia taarifa ya...

TAWA YAFANIKIWA KUPUNGUZA MIGOGORO YA MIPAKA YA ARDHI KATI YA HIFADHI NA WANANCHI KATIKA...

0
Kamishna wa Mamlaka ya usimamizi wanyamapori Tanzania (TAWA), Kamishna Mabula Nyanda, amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu...

ANDAENI MPANGO WA UFADHILI WA WATAALAMU WA KISWAHILI – MAJALIWA

0
*Asema lengo ni kukifanya Kiswahili kuwa bidhaa na kujikwamua kiuchumi *Pia kukidhi mahitaji na kuzalisha wataalamu wa kiwango cha kimataifa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara...

MKE WANGU AMENIKIMBIA KWA MADAI NILIMBAKA DADA YAKE!

0
Jina langu ni Solomoni kutokea Kwale, Kenya, katika maisha yangu, kamwe siwezi kusahau miaka kama saba iliyopita ambapo shemeji yangu alinifungulia kesi mahakamani kuwa...

DK. NCHIMBI AWASILI ZIMBABWE MKUTANO WA VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA

0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, akiambatana na baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM ya CCM ya...

Prof. MKUMBO: Dkt. SAMIA AMELETA SERA JUMUISHI ZA UCHUMI KUKUZA BIASHARA

0
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo (Mb),  amesema Serikali inaendelea kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji nchini, sambamba...

ELIMU YA ULIPAJI KODI KIKWAZO KWA WAFANYABIASHARA SAME.

0
Ashrack Miraji Same Kilimanjaro ukosekana kwa elimu sahihi ya kulipa kodi ya ongezeko la thamani VAT kwa baadhi ya wafanyabiashara kwenye Halmashauri ya Wiaya ya...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma 2024,
Karibu Tukuhudumie..