Thursday, September 19, 2024
Home 2024

Yearly Archives: 2024

WADAU WAITWA HARAMBEE YA UJENZI WA SHULE SHIKIZI KIUNDA, MUSOMA VIJIJINI

0
Na Shomari Binda-Musoma WADAU wa elimu na wazawa wa Kata ya Nyakatende jimbo la Musoma vijijini wameombwa kujitokeza kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa shule...

MAJALIWA: TUENDELEE KUPINGA UKATILI KWA WATOTO

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii kuwa iendelee kuunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu...

ORODHA YA WATEJA WA TIGO WALIOUANZA MWAKA VIZURI KWA KUSHINDA MAMILIONI YA FEDHA, MAGIFTI...

0
Semaji la Kampeni ya Magifti Dabo dabo, Haji Manara (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi mshindi wa shilingili milioni tano, Kiungi Juma. Kampeni ya Magifti Dabodabo...

JESHI LA POLISI KUSHIRIKIANA NA TBS KATIKA UKAGUZI WA MAGARI

0
 Na Mwandishi Wetu.  SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limesaini Hati ya Makubaliano (MoU) na Jeshi la Polisi ili kushirikiana katika ukaguzi wa Vyombo Vya Moto...

BANDARI YA DAR ES SALAAM SASA KUPOKEA MELI KUBWA ZAIDI

0
Maboresho makubwa ya miundombinu yaliyofanyika katika Bandari ya Dar es Salaam, yameiwezesha bandari hiyo kuwa na uwezo wa kuhudumia meli kubwa na za kisasa...

Katika Kuongeza Ushiriki wa Watanzania kwenye Uchumi wa Madini; WAZIRI MAVUNDE AAINISHA MAMBO MUHIMU KUFIKIA...

0
Aidha, amesema kuwa Wizara ya Madini kupitia Vision 2030 ya Madini ni Maisha na Utajiri inatarajia kufanya utafiti wa kina wa madini nchi nzima...

SOMA HAPA JINSI YA KUJISHINDIA ZAWADI ZA MAGIFTI DABO DABO YA TIGO

0
Januari 4, 2024 Christina Latin Mrua Mkazi wa Salasala Dar Es Salaam amekabidhiwa rasmi zawadi yake ya Vifaa vya nyumbani kutoka HISENSE ambavyo ni...

“MTOTO ATAKAE CHELEWA KUFIKA SHULE KWA WAKATI KULIMA MATUTA KUMI (10)” RC ROSEMARY SENYAMULE.

0
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema mtoto atakaye chelewa kuanza Masomo kwa wakati atalima matuta kumi. hayo yamesemwa jana tarehe 04 Januari...

PROF.MUHONGO AZITEMBELEA NA KUZIFARIJI FAMILIA ZILIZOATHIRIKA NA MVUA KATA YA ETARO

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Profesa Sospeter Muhongo amezitembelea familia za kaya 15 zilizoathirika na mvua Kata ya Etaro. Familia zilizoathirika zaidi...

RAIS DKT.MWINYI ASHUHUDIA KARAFUU ZA MAGENDO BANDARINI WETE.

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika ziara ya kushtukiza...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma 2024,
Karibu Tukuhudumie..