Home 2024
Yearly Archives: 2024
REA YAUPAMBA MKUTANO WA KIKANDA WA NISHATI BORA 2024
📌Matumizi bora ya nishati ya kupikia kupewa kipaumbele
📌Elimu ya utunzaji wa miundombinu ya umeme yatolewa
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unashiriki katika Mkutano wa Kikanda...
MKUTANO WA KIKANDA WA MATUMIZI BORA YA NISHATI WAANZA KWA MAFANIKIO ARUSHA
📌Magari yanayotumia umeme yawa kivutio
📌Wadau waonesha vifaa vinavyotumia umeme kidogo kwa gharama ndogo*
📌Dkt. Mataragio asema Matumizi Bora ya Nishati yanalenga kupunguza uzalishaji hewa ya...
CHUO CHA VETA CHAJA NA UFUMBUZI WA UGONJWA WA MALARIA,FANGASI MKOJO MCHAFU(UTI)
Na Magrethy Katengu
Dar es salaam
CHUO cha Ufundi Stadi VETA Dar es Salaam kimeendelea na kutoa mafunzo kwa vitendo na ubunifu zaidi ili kuleta ufumbuzi...
WAKAZI 439 WILAYA SAME WAKUTWA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI VVU KATI YA...
Watu 439 Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro katika kipindi cha miezi 11 kuanzia mwezi Januari hadi Novemba 2024 wamekutwa na maambukizi ya Virusi vya...
MMI STEEL MILL LTD WAADHIMISHA MIAKA 30 , WAMKUMBUKA MAREHEMU SUBHASH PATEL
Na Mwandishi Wetu.
Disemba 01 , 2024 - Wafanya Biashara Amos Magaba kutoka Sumbawanga na Benson Kilalika kutoka Moshi , wameipongeza Kampuni ya MMI Steel...
WAHITIMU MWEKA WATAKIWA KUWA WAZALENDO KULINDA RASILIMALI ZA NCHI
Na Happiness Shayo- Kilimanjaro
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Wahitimu wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori MWEKA kuwa...
BIASHARA KATI YA TANZANIA NA CHINA YAFIKIA DOLA BIL. 8.78-MAJALIWA
Asema Rais Dkt. Samia anathamini mchango wa China kwenye maendeleo nchini
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na China...
RAIS DKT SAMIA AKISALIMIANA NA BAADHI YA WAKUU WA NCHI WA (EAC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika...
MWANAFUNZI WA CHUO ASHINDA MILIONI TANO KUTOKA YAS ( ZAMANI TIGO ), KAMPENI YA...
Novemba , 29 , 2024 : Sia Martin Mlay Mwanafunzi wa Chuo Cha Ardhi - Jijini Dar Es Salaam ( katikati ) ni mmoja...
VYAMA VYA SIASA TANGA JIJI VYAPONGEZA MCHAKATO WA UCHAGUZI S/MITAA.
Na Boniface Gideon,TANGA
Vyama vya Siasa vilivyoshiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa wa Novemba 27 mwaka huu katika Halmashauri ya Jiji la Tanga,vimetoa tamko la...