BENK YA AKIBA YAZINDUA KAMPENI YA TWENDE KIDIJITALI
Na Mwandishi wetu---Dar es salaam
Benki ya Akiba imezindua kampeni ya Kidijitali ijulikanayo kama "Twende Kidijitali ili kutoa suluhisho za kifedha.
Taarifa iliyotolewa leo Desemba 18,2024...
WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI CHUKIENI RUSHWA, FANYENI KAZI KWA UWAZI – DKT. BITEKO
📌 Atahadharisha vitendo vya rushwa kwenye Manunuzi
📌 Dkt. Biteko afungua Kongamano la 15 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi
📌 Ataka wasikilize sauti za watu,...
MKATABA WA KIKODI TANZANIA NA OMAN KUFUNGUA UWEKEZAJI
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akisaini kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mkataba wa Kuondoa...
RAIS SAMIA NI KIONGOZI ANAYECHUKIA RUSHWA KWA VITENDO : NAIBU WAZIRI MHE. SANGU
Na. Lusungu Helela - Arusha.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu amesema Rais wa Jamhuri ya...
DKT. NCHEMBA ZIARANI OMAN APONGEZA DIPLOMASIA YA UCHUMI
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akizungumza na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania Muscat- Oman na wadau wengine katika Makazi ya...
DKT. MPANGO: TAKUKURU JIANDAENI KUDHIBITI RUSHWA 2025
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kujiandaa kikamilifu...
VUNA NA MIXX BY YAS , WAKULIMA WA KAGERA NA SIMIYU WAIBUKA KIDEDEA WAONDOKA...
Patrick Rweshambula, mkulima wa kahawa kutoka Kagera, akikabidhiwa pikipiki kama moja ya zawadi kuu katika promosheni ya Vuna na Mixx by Yas. Akimkabidhi zawadi...
MIXX BY YAS WATENGA MABILIONI YA FEDHA KUWAWEZESHA WAKULIMA KAGERA.
Angelica Pesha, Afisa Mkuu wa Mixx by Yas, na Leonard Kachebonaho, Mwenyekiti wa ( Karagwe Development and Relief Services ) KADERES, wakithibitisha ushirikiano wao...
CCM YASEMA HAKUNA CHAWA WALA KUNGINI, MAFANIKIO YAPO KATIKA JUMUIYA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) anayeshughulikia Oganaizesheni na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Issa Gavu, ametoa wito kwa Jumuiya...
DKT. BITEKO ATOA WITO WAKUKUZA UBUNIFU WA NDANI KWA MAENDELEO YA TAIFA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa pamoja na jitihada za kuwainua wabunifu wawekezaji nchini, bado kuna umuhimu...