TBS WAWAFIKIA WAWEKEZAJI , WAFANYABIASHARA NA WANANCHI , MAONESHO YA NNE YA UWEKEZAJI NA...
Desemba 20 , 2024: Meneja wa TBS Kanda ya Mashariki Bi. Noor Meghji akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu ushiriki wa TBS katika Maonesho...
TBS YAWATAKA WAINGIZAJI WA BIDHAA ZA CHAKULA NA VIPODOZI KUSAJILI BIDHAA ZAO
Na Mwandishi Wetu.
WAFANYABIASHARA wanaoingiza bidhaa za chakula na vipodozi kutoka nje ya nchi wametakiwa kusajili bidhaa hizo Shirika la Viwango Tanzania (TBS), kwa kuwa...
NI RAHISI KUSHINDA GARI , FEDHA HADI MILIONI 10 NA SIMU JANJA ZA MAGIFTI...
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam, 20 Desemba 2024: Watumiaji wa mtandao wa simu wa Yas kupitia Kampeni yake inayoendelea ya Magift ya Kugift leo...
MHE. KAPINGA: TANZANIA KUFAIDIKA NA UZOEFU WA SAUDI ARABIA KATIKA MAFUTA NA GESI
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Saudi Arabia katika kuimarisha Sekta ya Nishati, hususan katika Mafuta na Gesi,...
WAZIRI MKUU MAJALIWA: VIGEZO BAYANA VYA TUZO ZA UHIFADHI NA UTALII VYATAKIWA
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kuhakikisha inaweka vigezo vya wazi na vinavyojulikana vya uteuzi na upokeaji wa Tuzo za...
CG MWENDA AWAONYA WANAOGHUSHI RISITI ZA EFD
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)Bw. Yusuph Mwenda, ametoa onyo kali kwa wafanyabiashara wachache wanaojihusisha na ukwepaji kodi kupitia mauzo hewa na...
TANZANIA, SAUDI ARABIA KUIMARISHA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI
๐ Waziri Kapinga afanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati Saudi Arabia
๐ Wajadili ushirikiano katika Mafuta, Gesi Asilia, Nishati Jadidifu na Nishati Safi ya...
TBS WATOA WITO KWA WENYE VIWANDA NA TAASISI KUHAKIKI UBORA WA MIFUMO
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limezitaka taasisi, sekta mbalimbali na wenye viwanda kuhakikisha wanathibitisha mifumo yao ya huduma ili kuhakikisha ubora na...
REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 13,020 KWA BEI YA RUZUKU MKOANI SHINYANGA
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea kutekeleza Mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi ya kilo 6 kwa bei ya ruzuku, ambapo inatarajia kugawa...
UJENZI MRADI WA KUFUA UMEME WA BWAWA LA JULIUS NYERERE MBIONI KUKAMILIKA
๐ MD Nyamo-Hanga na Viongozi wengine (TANESCO) wakagua Maendeleo ya ujenzi wa Mradi huo na kuahidi kuendelea kuusimamia hadi ukamilike
๐Megawati 1175 kutoka kwenye mashine...