WANANCHI MUSOMA VIJIJINI WAPOKEA ZAWADI YA SIKUKUU KUTOKA KWA RAIS DKT.SAMIA
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wa jimbo LA Musoma vijini wamepokea zawadi ya sikukuu ya Krismass na mwaka mpya kutoka kwa Raid Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Zawadi iliyotolewa...
TUSHEREHEKEE KRISMASI NA MWAKA MPYA TUKIJIVUNIA MABADILIKO MAKUBWA SEKTA YA NISHATI
Katika kusherehekea SIkukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025, Watanzania hatuna budi kujivunia safari ya mafanikio katika Sekta ya Nishati, hususan umeme.
Je Unajua kabla...
WATU 8 WAFARIKI KWA AJARI GARI TANGA.
Na Boniface Gideon, HANDENI
WATU 8 wamefariki Dunia Wilayani Handeni mkoani Tanga, baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso Lori na Coaster katika Kitongoji...
TRA KUONGEZA IDADI YA WAENDESHA UCHUMI WALIOIDHINISHWA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ipo katika mkakati wa kuongeza idadi ya Waendesha Uchumi Walioidhinishwa (Authorized Economic Operators (AEO)) ili kuongeza kasi ya uendeshaji...
WAZIRI CHANA AMUAPISHA KAMISHNA UHIFADHI NCAA, AMPA MAAGIZO MAZITO
Na Happiness Shayo Karatu
Waziri wa Maliasili na Utalii ,Mhe. Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana amemuapisha na kumvisha cheo cha kijeshi Kamishna wa Uhifadhi wa...
GRIDI ZA TANZANIA NA KENYA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME NCHINI – MHA. GISSIMA NYAMO-HANGA
๐ Awahimiza wataalamu kusimamia zoezi la kuziunganisha Gridi za Tanzania na Kenya kwa umakini bila kuathiri upatikanaji wa umeme kwenye mfumo wa Gridi ya...
REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 19,530 MKOANI SINGIDA
๐Wananchi 3,255 kila wilaya ya mkoa huo kunufaika
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA); kuanzia tarehe 20 Januari,...
MWEMBE LOGISTICS YAENDELEA KUWEKEZA KWENYE UTALII, WAZIRI PINDI AWAPONGEZA
Na Dickson Mzava
Kampuni ya Mwembe Logistics, inayotoa huduma za usafirishaji wa mizigo na uwakala wa forodha, imeendelea kujizatiti na kuonyesha ubunifu mkubwa katika huduma...
DKT. KAZUNGU ATEMBELEA MIRADI YA UMEME DAR ES SALAAM
๐ Ni ya Uzalishaji na Usafirishaji umeme
๐ Lengo ni kuhakikisha uwepo wa umeme wa uhakika
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu...
MHE. CHANA AFUNGUA SAME UTALII FESTIVAL, ATOA MAAGIZO MAZITO YA SEKTA
Na John Mapepele
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe, Balozi.Dkt. Pindi Chana ( Mb) amezitaka Halmashauri za wilaya zote nchini kuanzisha matamasha ya Utalii na...