AIR FRANCE KLM WAHAMASISHA KWA VITENDO KUHUSU UMUHIMU WA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NCHINI
Rajat Kumar, Meneja wa Air France-KLM nchini Tanzania, akimsaidia mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro nchini Tanzania...
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA CG WA TRA KUJADILI MASUALA YA KIKODI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Philip Isdor Mpango jana tarehe 27.12.2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Mkuu...
MIAMALA YAKO INAWEZA KUKUFANYA UANZE MWAKA 2025 KWA KUSHINDA GARI JIPYA NA FEDHA HADI...
Meneja wa Bidhaa za Yas, Eginga Mohamed (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi, Chiku Rashid aliyeibuka miongoni mwa washindi wa shilingi milioni moja katika droo...
WANANCHI MUSOMA WAFURAHIA ” OFFER” YA MUWASA KUREJESHEWA MAJI BILA FAINI
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI Wilaya ya Musoma wameshukuru na kufurahia nafuu ya kurejeshewa huduma ya maji iliyotolewa na Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira...
CHATANDA AFANIKISHA UKAMILISHAJI WA UJENZI WA NYUMBA YA MJANE IRINGA
📍27 DISEMBA, 2024 - IRINGA
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg Mary Pius Chatanda (MCC) katika Ziara yake ya Kikazi amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Nyumba...
DIWANI WA CHADEMA ASHIKILIWA NA POLISI KWA MAUAJI YA KUMPIGA RISASI MKULIMA
Na Ashrack Miraji
ALIYEKUWA Diwani wa kata ya Bendera wilayani Same mkoani Kilimanjaro kupitia chama cha Chadema mwaka 2015-2020, Michael Mcharo (52), anashikiliwa na...
TAASISI YA SARATANI YA BABUU KUTOA ELIMU YA SARATANI JIJINI MWANZA.
Taasisi ya Saratani ya Babuu(BCF) ya Jijini Dar es salaam imeandaa Kampeni ya Saratani kitaa inayolenga kutoa elimu ya saratani kwa Jamii ya Mkoa...
DC KOMBA ATOA SHUKRANI NA MCHANGO KWA GEITA JOGGING
Viongozi wa Geita Jogging leo wamepokea mwaliko wa heshima kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Geita, Mheshimiwa Hashimu Komba, aliyealikwa ofisini kwake kwa lengo...
FDH,KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE WENYE ULEMAVU
Na Hamida Ramadhani Mzawa Online
TAASISI ya Foundation For Disabilities Hope (FDH) imeanza kuteleza mradi wa mwaka mmoja wa kuwajengea uwezo wanawake wenye ulemavu...