GRIDI ZA TANZANIA NA KENYA KUIMARISHA UPATIKANAJI WA UMEME NCHINI – MHA. GISSIMA NYAMO-HANGA
📌 Awahimiza wataalamu kusimamia zoezi la kuziunganisha Gridi za Tanzania na Kenya kwa umakini bila kuathiri upatikanaji wa umeme kwenye mfumo wa Gridi ya...