MHE. KAPINGA: TANZANIA KUFAIDIKA NA UZOEFU WA SAUDI ARABIA KATIKA MAFUTA NA GESI
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Saudi Arabia katika kuimarisha Sekta ya Nishati, hususan katika Mafuta na Gesi,...