UJENZI MRADI WA KUFUA UMEME WA BWAWA LA JULIUS NYERERE MBIONI KUKAMILIKA
📌 MD Nyamo-Hanga na Viongozi wengine (TANESCO) wakagua Maendeleo ya ujenzi wa Mradi huo na kuahidi kuendelea kuusimamia hadi ukamilike
📌Megawati 1175 kutoka kwenye mashine...