SALUM KULUNGE APITISHWA TENA KUWA MWENYEKITI WA GEREFA MKOA
Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Geita (GEREFA) leo kimefanya uchaguzi wake mkuu ambapo aliyekuwa Mwenyekiti wa GEREFA Mkoa wa Geita, Salum Kulunge,...
BENK YA AKIBA YAZINDUA KAMPENI YA TWENDE KIDIJITALI
Na Mwandishi wetu---Dar es salaam
Benki ya Akiba imezindua kampeni ya Kidijitali ijulikanayo kama "Twende Kidijitali ili kutoa suluhisho za kifedha.
Taarifa iliyotolewa leo Desemba 18,2024...