Thursday, February 6, 2025
Home 2024 November

Monthly Archives: November 2024

SERIKALI KUTUMIA BILION 1.16 KUJENGA SHULE MPYA MBILI ZA SEKONDARY WILAYA YA SAME

0
Na Ashrack Miraji Mzawa Online Serikali kupitia Mradi wa Uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP) inatarajia kutumia zaidi ya shilingi bilioni 1.16 katika mwaka wa...

DKT MPANGO ATAKA UBUNIFU WA VIJANA UZINGATIWE KATIKA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

0
Na Irene Gowelle Baku, Azerbaijan. Ili kufikia malengo tarajiwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia, Makamu wa Rais, Mhe.Dkt Philip Mpango amesema ni muhimu uvumbuzi...

JUMIKITA WANOLEWA NA TAMISEMI KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NOVEMBA 27, 2024

0
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam Jumuiya ya la Waandishi wa Mtandaoni Tanzania (JUMIKITA) wameshauriwa kuzingatia weledi ,maadili, katika kuandika habari kuelekea uchaguzi wa Serikali za...

UPASUAJI MKUBWA WA KUONDOA UVIMBE KWENYE UBONGO WAFANYIKA KWA MARA YA KWANZA HOSPITALI YA...

0
Chato, Geita Madaktari bingwa wa mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), wakishirikiana na wenzao...

DC KUBECHA: NGUMI YA TANGA LITAKUWA PAMBANO LA KISTORIA

0
Na Gideon Tanga Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Kubecha, amesema pambano la ngumi litakalofanyika jijini Tanga tarehe 16 mwezi huu, linatarajiwa kuwa la...

BENKI YA BIASHARA TANZANIA (TCB) YAZINDUALIPA POPOTE KURAHISISHA MALIPO KWAWAFANYABIASHARA

0
Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam, Tanzania – 13/11/2024 – Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kutangaza uzinduzi wa bidhaa ya LIPA POPOTE, suluhisho la malipo...

PSSSF YAWAPA MBINU WASTAAFU WATARAJIWA JIJINI MBEYA JINSI YA KUISHI NJE YA UTUMISHI WA...

0
Na Mwandishi Wetu. MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umekutana na wanachama wake wa mkoa wa Mbeya wanaotarajia kustaafu hivi karibuni...

RAIS DKT SAMIA AKUTANA NA RAIS WA ZANZIBAR NA MKUU WA MAJESHI

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

GGML YAKABILIWA NA SHINIKIZO KUKAMILISHA MIRADI YA MAENDELEO YA CSR GEITA

0
Geita,Tanzania Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita limekutana kujadili na kupitisha mpango wa wajibu wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita...

DAS WELLA AWAKARIBISHA BUNJU BEACH VETERAN KUWA BALOZI WA SAME UTALII FESTIVAL

0
Na Ashrack Miraji Mzawa Online Bunju Beach Veteran wameahidi kuendelea kuhamasisha na kushiriki katika Tamasha la Same Utalii Festival tarehe 20 hadi 22/12/2024 lenye...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma November, 2024 - Mzawa Online - Page 9,
Karibu Tukuhudumie..