MRADI WA UMEME RUSUMO KUZINDULIWA FEBRUARI 2025
📌 Dkt. Biteko asema umekamilika kwa asilimia 99.9
📌 Ataja kuongezeka kwa kiasi cha umeme katika Gridi ya Taifa
📌 Asema asilimia 52 ya umeme nchini...
WAZIRI CHANA AZINDUA MIRADI YA UTALII YA MILION 904 SERENGETI
Na Happiness Shayo - Serengeti
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua miradi ya kuendeleza utalii ikiwemo Mradi ya Barabara...
DIT KUFUNGUA KITUO CHA UMAHIRI WA TEHAMA AFRIKA MASHARIKI
Na Adery Masta.
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) iko mbioni kufungua Kituo cha umahiri wa Tehama Kanda ya Afrika Mashariki unaotekelezwa chini ya...
WATANZANIA WAONDOKA NA MAMILIONI YA FEDHA , SIMU 42 KUTOKA TIGO MAGIFTI YA KUGIFTI...
.
Wafanyabiashara kutoka Dar es Salaam ambao ni Washindi wa milioni moja moja katika kampeni inayoendelea ya Magift ya Kugift, Rose Siratro Mosha (katikati kulia),...
TARURA YATAKIWA KUTEKELEZA MIUNDOMBINU YA BARABARA KABLA YA MSIMU WA MVUA KUANZA GEITA DC
Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Geita umetakiwa kutekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara zenye changamoto kabla ya...
TIGO WAJA NA MJASIRIAMALI BOX ILIYOBORESHWA , KUTOA MIKOPO NA HUDUMA KIBAO KWA WAJASIRIAMALI.
.
Afisa Mkuu wa Tigo Business, Bw. John Sicilima akimkabidhi Mjasiriamali router ya 5G, katika uzinduzi wa Mjasiriamali box iliyoboreshwa kwaajili ya wajasiriamali na wafanyabiashari...
TANZANIA, MAREKANI ZAJADILI UWINDAJI WA KITALII KWA NJIA YA MTANDAO
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na ujumbe kutoka Idara ya Uvuvi na...
MKUTANO WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI KUFANYIKA DAR ES SALAAM NOVEMBA 19HADI 21
Na Magrethya Katengu ---Dar es salaam
Tanzania ni miongoni mwa nchi iliyoweka msingi thabiti wa kushirikiana na wadau mbalimbali katima sekta ya Madini ili kuhakikisha...
WAZIRI JAFO MGENI RASMI KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UBORA NOVEMBA 18 ,...
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wafanyabiashara kutumia teknolojia na kuongeza ubunifu unaozingatia kanuni za ubora wa bidhaa ili waweze kushindana katika...
RAIS SAMIA AONGOZA KUAGA MWILI WA LAWRENCE MAFURU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango...