MAFANIKIO YA MPIRA WA MIGUU MKOA WA GEITA YAPONGEZWA NA CEO WA BODI YA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ligi, Ndg. Almasi Kasongo, ametoa pongezi za dhati kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Geita...
RAIS SAMIA ATOA SH. BILIONI 24 KUTEKEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO NAMTUMBO
๐ Miradi ya Kilimo, Afya, Elimu, Umeme na Maji yaguswa
๐ Kapinga asema maendeleo yaliyofanyika yanaonekana wazi; hayahitaji tochi
๐ Aeleza jinsi Ilani ya CCM ilivyotekelezwa...
BUKOMBE WANATAKA MAENDELEO NA MAENDELEO NI CCM – DKT. BITEKO
๐ Asema Vyama Vishindane kwa Sera na Utekelezaji wa Ahadi
๐WanaCCM Bukombe Waaswa Kuimarisha Ushirikiano
๐ Azindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bukombe
Naibu Waziri...
RAIS SAMIA AUNGWE MKONO AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA – RC MAKONGORO
๐Mitungi ya gesi ya kupikia 9,765 kusambazwa Rukwa
๐Rukwa
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhe. Makongoro Nyerere amewataka Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya...
KAMPUNI YA TIGO YATOA MSAADA KWA KITUO CHA RAYA ISLAMIC FOUNDATION MOROGORO
.
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Mashariki na Pwani (Tanga na Morogoro) akikabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa Mkurugenzi mtendaji wa kituo cha kulea watoto...
NLD YAZINDUA RASMI KAMPENI UCHAGUZI S/MITAA,KIKILAANI WANUFAIKA TASAF KUFANYISHWA KAZI NGUMU,AAHIDI KULIPIA 30000 KILA...
Na Boniface Gideon, HANDENI
CHAMA cha The Nation League For Democracy (NLD) hatimaye kimezindua rasmi kampeni zake kuelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika Novemba...
GWIJI WA SIASA ZA UPINZANI JIMBO LA VUNJO AJIUNGA RASMI NA CCM
Iddy Hussein Mfinanga, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Jimbo la Vunjo, ajiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Vunjo, Kilimanjaro โ Iddy Hussein Mfinanga, gwiji...
KATIBU UWT MUSOMA AWAHIMIZA WAGOMBEA WANAWAKE KUJIAMINI KWENYE KAMPENI
Na Shomari Binda-Musoma
KATIBU wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM Wilaya ya Musoma mjini Teddy Bageni amewahimiza wanawake kujiamini katika kipindi hiki cha kampeni.
Akizungumza na...
REA YAWAHAKIKISHIA UPATIKANAJI WA MITUNGI YA GESI YA KILO SITA NCHI NZIMA
๐Mitungi ya gesi zaidi ya 13,000 kusambazwa Songwe
๐Kila wilaya kupatiwa mitungi ya gesi 3,255
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni...
DKT. BITEKO AINADI CCM MARA
๐ Asema CCM Inaweza Kazi, Ipewe Kura
๐ Wabunge Waeleza Mafanikio ya CCM Mara
๐ Wagombea Uenyeviti Wajinadi kwa Wananchi
๐ Wananyamongo Waahidi Ushindi CCM Uchaguzi wa...