ENOCK KOOLA ACHANGIA MILION 6.5 AGAPE LUTHERAN SEMINARY
Na Ashrack Miraji
Mdau wa maendeleo ya jamii na Wananchi kwa ujumla Bwana Enock Koola ambaye ni MCHUMI kitaaluma , amechangia sh 6,500 000...
MBUNGE MATHAYO ” APOI”AENDELEA KUWATAFUTIA KURA WENYEVITI WA MITAA CCM
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini,Vedastus Mathayo " apoi" akiendelea kulizunguka jimbo la Musoma mjini kuwatafutia kura Wenyeviti na wajumbe kutoka Chama...
KAPINGA ATUMIA FAINALI YA MPIRA WA MIGUU KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
๐ Asema baada ya michezo nguvu zielekezwe Novemba 27, 2024
๐ Awataka kuchagua viongozi makini wenye uchungu na maendeleo
๐ Asema CCM ndiyo chaguo SAHIHI
Mbunge wa...
MKAKATI: CCM IKIHITIMISHA KAMPENI KWA KISHINDO
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafunga kampeni zake za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kishindo, kwa namna ile ile kilivyozindua. Hii itadhihirika tarehe 26...
MKURUGENZI GEITA DC AWAONYA WASIMAMIZI DHIDI YA UVUNJAJI WA TARARIBU ZA UCHAGUZI
Wasimamizi wa vituo na makarani waongozaji kutoka Jimbo la Geita na Busanda wamepewa mafunzo maalum kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa...
VIVUTIO ADIMU VYA UTALII KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA NYERERE, MORGORO
Na Ashrack Miraji
Hifadhi ya Taifa ya Nyerere, iliyopo mkoani Morogoro, ni moja ya maeneo ya kipekee ambapo unaweza kukutana na vivutio vya ajabu na...
TANZANIA NA UGANDA KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO
๐ Ni katika kuendeleza Sekta za Mafuta na Gesi
๐ Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi wafikia asilimia 47
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt....
MILIONI 455 KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 22,000 TABORA
๐Tabora
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kiasi cha shilingi milioni 455.7 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya gesi ipatayo 22,785 mkoani Tabora ukiwa na...
SOMA HAPA JINSI YA KUSHINDA SIMU JANJA NA PESA HADI MILIONI TANO KUTOKA TIGO...
PICHA YA PAMOJA : Novemba 22 , 2024 : Baadhi ya Washindi wa simu janja na Pesa Taslimu Hadi Milioni 5 ( Wateja na...
MIJADALA YA SERIKALI YA KUONGEZA THAMANI MADINI, YALETA TIJA KWA WACHIMBAJI NA WAUZAJI
Na Fatma Ally Mzawa Online Media
Imeelezwa kuwa Serikali ya Tanzania inalenga kuongeza thamani madini yanayozalishwa nchini humo jambo ambalo litavutia wawekezaji wengi kutoka ndani...