IDADI YA ABIRIA WANAOSAFIRI NDANI YA ZIWA VICTORIA YATARAJIWA KUONGEZEKA MWAKANI
Na Mwandishi Wetu.
Idadi ya abiria wanaosafiri katika Ziwa Victoria inatarajiwa kuongezeka mara mbili mwaka ujao, kutokana na miradi mikubwa ya upanuzi wa bandari na...