KATIBU MKUU NLD TAIFA DOYO HASSAN DOYO AMEOMBA TAKUKURU KUINGILIA KATI MCHAKATO WA UCHANGUZI...
Na Boniface Gideon Tanga
KATIBU wa Chama cha NLD Taifa Doyo Hassani Doyo ameiomba Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) kuwa makini...
TANZANIA KUWA MWENYEJI MKUTANO WA KIMATAIFA WA MATUMIZI BORA YA NISHATI
📌 Wadau takriban 400 kukutana Arusha
📌 Kuhusisha majadiliano, kubadilishana uzoefu, fursa za uwekezaji
📌 Dkt.Doto Biteko kuwa mgeni rasmi
📌 Ufanisi wa Tanzania Matumizi Bora ya...
MRADI UFUNGAJI MIFUMO YA UMEME JUA 20,000 MBIONI KUANZA
Imeelezwa kuwa, miradi ya ufungaji wa mifumo ya umeme jua ipatayo 20,000 ipo mbioni kuanza katika maeneo ya visiwani na makazi yaliyo vijijini ambayo...
JENERALI MUSUGURI AMEACHA ALAMA YA UZALENDO NA KUJITOA KWA AJILI YA TAIFA : DKT....
📌 Serikali itaenzi na kuthamini mchango wake
📌 Asema Jenerali Musuguri alijitolea kuhakikisha Tanzania inabaki na amani na usalama
📌 Asema alikuwa mstari wa mbele kuliokoa...
HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA KINARA WA MATOKEO YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU...
Halmashauri ya Wilaya ya Geita imeibuka kinara kati ya halmashauri sita za Mkoa wa Geita katika matokeo ya Mbio za Mwenge wa Uhuru zilizofanyika...
SERIKALI INAENDELEA KUTEKELEZA MRADI WA KUPELEKA UMEME WA GRIDI MTWARA NA LINDI- MHE.KAPINGA
📌 Lengo ni kuimarisha upatikanaji wa umeme
📌 Fidia kulipwa kwa wanaopisha mradi
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha...
ZINGATIENI MISINGI YA UTAWALA BORA KATIKA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU-MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wasimamizi wote wa rasilimaliwatu wazingatie misingi ya utawala bora na weledi katika kuisimamia rasilimali hiyo katika Sekta...
TIGO ZANTEL ZANZIBAR INTERNATIONAL MARATHON KUKUZA UCHUMI VISIWANI HUMO , KWA MWAKA HUU 2024...
Na Mwandishi Wetu.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla ameipongeza kampuni ya Mawasiliano ya TigoZantel pamoja na wadau wengine kwa kuendelea...
AMAZING TANZANIA YAPATA MAFANIKIO MAKUBWA
Na John Mapepele
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi amesema Filamu ya Amazing Tanzania iliyowashirikisha Rais wa Jamhuri ya Muungano...
DKT. NCHIMBI NA WAZIRI WA ULINZI WA COMORO WAEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amekutana na Mheshimiwa Youssoufa Mohamed Ali,Waziri wa Ulinzi ambaye ni Katibu Mkuu wa...