TANZANIA YAFANYA MAZUNGUMZO NA TAASISI YA SUSTAINABLE ENERGY FOR ALL.
π Wajadili Mikakati ya kuendelea kusukuma Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia nchini
π Mhandisi Mramba aeleza Tanzania inavyopiga hatua utekelezaji wa Ajenda ya Nishati...
RAIS DKT SAMIA AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,...
KUKAMILIKA KWA MRADI WA UMEME RUSUMO KUNAZIDI KUIIMARISHA GRIDI YA TAIFA- KAMATI YA BUNGE
π Ni mradi wa megawati 80 unaotekelezwa na Tanzania, Burundi, Rwanda
π Kila nchi yafaidika na megawati 26.6
π Kamati yasema mradi utazidi kuimarisha uhusiano mzuri...
SHULE YA SEKONDARI MISUFINI GOMA KUANZA KUPOKEA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO 2025.
Zaidi ya shilingi milioni 389 kutumika kujenga Mabweni mawaili (KE&ME), vyumba vinne vya madarasa na matundu ya vyoo kumi na nne (14) katika Shule...
DKT. BITEKO AIPONGEZA DODOMA JIJI KUVUKA LENGO UANDIKISHAJI WAPIGA KURA
Ujenzi Uwanja wa Ndege Msalato Wafikia 75%, Kukamika kwake Kutachochea Maendeleo
πAmpongeza Mhe. Mavunde Kwa Utekelezaji Mzuri wa Ilani ya CCM
Na Ofisi ya Naibu Waziri...
DKT.BURIANI ATOA KONGOLE KWA TANZANIA NA UGANDA KUTEKELEZA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA
π Aeleza faida za mradi mkoani Tanga
π Asema EACOP itafungua fursa za tafiti za Mafuta Tanga
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Dkt. Batilda Buriani ameipongeza...
FDH YAIANGUKIA SERIKALI WENYE ULEMAVU KUKUOMBA MIKOPO YA HALMSHAURI KWENYE MITANDAO NI KIKWAZO.
Serikali imeombwa kuangalia namna ya kuwajengea uwezo wa jinsi kutumia mifumo ya mitandao watu wenye ulemavu ili na wao waweze kunufaika na fursa ya...
WIZARA YA NISHATI YAFANYA MAZUNGUMZO NA KAMPUNI YA EQUINOR TANZANIA
π Wazungumzia uendelezaji wa Mradi wa LNG
Wizara ya Nishati imekutana na kufanya mazungumzo na Kampuni ya Equinor Tanzania AS kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa...
WAKUU WA WILAYA BUNDA,MUSOMA NA BUTIAMA WAHIMIZA USHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Na Shomari Binda-
WAKUU wa Wilaya za Bunda,Butiama na Musoma wamewahimiza wananchi kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kauli hiyo wameitoa leo kwa nyakati tofauti kwenye...
ASILIMIA 99 YA VIJIJI VYOTE NCHINI VIMEFIKIWA NA UMEME- KAPINGA
π Asema Taasisi zinazotoa huduma kwa jamii zinapewa kipaumbele
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema asilimia 99 ya Vijiji vyote nchini vimefikiwa na...