WAHITIMU MWEKA WATAKIWA KUWA WAZALENDO KULINDA RASILIMALI ZA NCHI
Na Happiness Shayo- Kilimanjaro
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Wahitimu wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori MWEKA kuwa...
BIASHARA KATI YA TANZANIA NA CHINA YAFIKIA DOLA BIL. 8.78-MAJALIWA
Asema Rais Dkt. Samia anathamini mchango wa China kwenye maendeleo nchini
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na China...
RAIS DKT SAMIA AKISALIMIANA NA BAADHI YA WAKUU WA NCHI WA (EAC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika...