TIGO WAJA NA MJASIRIAMALI BOX ILIYOBORESHWA , KUTOA MIKOPO NA HUDUMA KIBAO KWA WAJASIRIAMALI.
.
Afisa Mkuu wa Tigo Business, Bw. John Sicilima akimkabidhi Mjasiriamali router ya 5G, katika uzinduzi wa Mjasiriamali box iliyoboreshwa kwaajili ya wajasiriamali na wafanyabiashari...
TANZANIA, MAREKANI ZAJADILI UWINDAJI WA KITALII KWA NJIA YA MTANDAO
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na ujumbe kutoka Idara ya Uvuvi na...
MKUTANO WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI KUFANYIKA DAR ES SALAAM NOVEMBA 19HADI 21
Na Magrethya Katengu ---Dar es salaam
Tanzania ni miongoni mwa nchi iliyoweka msingi thabiti wa kushirikiana na wadau mbalimbali katima sekta ya Madini ili kuhakikisha...
WAZIRI JAFO MGENI RASMI KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UBORA NOVEMBA 18 ,...
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wafanyabiashara kutumia teknolojia na kuongeza ubunifu unaozingatia kanuni za ubora wa bidhaa ili waweze kushindana katika...
RAIS SAMIA AONGOZA KUAGA MWILI WA LAWRENCE MAFURU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango...
SERIKALI KUTUMIA BILION 1.16 KUJENGA SHULE MPYA MBILI ZA SEKONDARY WILAYA YA SAME
Na Ashrack Miraji Mzawa Online
Serikali kupitia Mradi wa Uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP) inatarajia kutumia zaidi ya shilingi bilioni 1.16 katika mwaka wa...
DKT MPANGO ATAKA UBUNIFU WA VIJANA UZINGATIWE KATIKA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Na Irene Gowelle
Baku, Azerbaijan.
Ili kufikia malengo tarajiwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia, Makamu wa Rais, Mhe.Dkt Philip Mpango amesema ni muhimu uvumbuzi...
JUMIKITA WANOLEWA NA TAMISEMI KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NOVEMBA 27, 2024
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam
Jumuiya ya la Waandishi wa Mtandaoni Tanzania (JUMIKITA) wameshauriwa kuzingatia weledi ,maadili, katika kuandika habari kuelekea uchaguzi wa Serikali za...
UPASUAJI MKUBWA WA KUONDOA UVIMBE KWENYE UBONGO WAFANYIKA KWA MARA YA KWANZA HOSPITALI YA...
Chato, Geita
Madaktari bingwa wa mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), wakishirikiana na wenzao...