DC KUBECHA; WANANCHI JITOKEZENI KUSHIRIKI UCHAGUZI S/MITAA.
Na Boniface Gideon, TANGA
Mkuu wa wilaya ya Tanga Japhari kubecha amewataka wananchi wa jiji la Tanga kujitokeza kwa wingi wakati wa zoezi la uchaguzi...
WAZIRI CHANA AZINDUA NEMBO YA ASALI YA TANZANIA
Na Happiness Shayo-TABORA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika...
KATIBU CCM MARA AFUNGUA KAMBI YA MAFUNZO YA VIJANA UVCCM NA KUTOA UJUMBE
Na Shomari Binda-Butiama
KATIBU wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) mkoa wa Mara Ibrahim Mjanakheri amewataka vijana kujiepusha na wale waotaka kuwatumia vibaya kuvuruga amani...
TBS WATOA ELIMU KWA WANANCHI NA WAZALISHAJI WA BIDHAA MAONESHO YA TIMEXPO 2024
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu ya viwango kwa wafanyabiashara,wenye viwanda na wananchi kwa ujumla katika Maonesho ya Wazalishaji wa Bidhaa za...
NLD YAITAKA SERIKALI KUONGEZA MUDA WA KAMPENI,YAZIBOMOA NGOME ZA ACT,ADC
Na Boniface Gideon, TANGA
Chama cha National League for Democracy (NLD) kimewasilisha ombi kwa serikali kuhusu kalenda ya uchaguzi iliyotolewa na Tamisemi,chama hicho kimeitaka Serikali...
SERIKALI YAPONGEZA KASI NA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI MARA
Na Shomari Binda-Musoma
SERIKALI imepingeza kasi na usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa mkoani Mara ikiwemo ya elimu,afya,maji na miundombinu.
Pongezi hizo zimetolewa leo oktoba...
DC SAME AMEWATAKA WASIMAMIZI NA WASAIDIZI WA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUJIEPUSHA NA...
Ashrack Miraji Kilimanjaro
Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni amewataka wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024...