DC SAME,MABADILIKO YA KWELI YANAANZA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro
Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni amesema mabadiliko ya kweli kwenye jamii yanaanza katika Uchaguzi wa Serikali...
DC SAME AMEAGIZA SERIKALI YA KATA KIRANGARE KUMALIZA MGOGORO WA MIPAKA YA VIJIJI
Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni ameagiza Serikali ya Kata ya Kirangare kushirikiana na Wakazi wa Kijiji cha Kirangare na Makasa...
MRADI WA SHILINGI 678.6 BILIONI WA TPA KULETA MAPINDUZI YA UPAKUAJI MAFUTA KATIKA BANDARI...
Na Adery Masta
Dar es Salaam. Tanzania, kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza mradi wa Sh678.6 bilioni ambao utaboresha utaratibu wa upakuaji...
DKT BITEKO ; IFIKAPO 2030 BARA LA AFRIKA WATU MILLION 300 WATAFIKIWA NA NISHATI...
Na Magrethy Katengu-- Dar es salaam
Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishato Dkt Doto Biteko amesema Bara la Afrika linaendelea kuweka mikakati...
MAFIA BOXING YALETA NEEMA KWA WAKAZI WA JIJI LA TANGA.
Kampuni ya Mafia Promotion Boxing imetoa misaada ya majiko ya gesi kwa wanawake wanaofanya shughuli za uuzaji wa vyakula katika masoko ya Mgandini, Makorora...
MOUNT MERU MARATHON YAANZA KUJIPANGA AFCON 2027 KWAKUTANGAZA FURSA ZA KIUCHUMI.
Na Boniface Gideon, TANGA
Waandaji wa mashindano ya Mount Meru Marathon yanayotarajiwa kufanyika Novemba 3 mwaka huu katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid, wamesema kwasasa...
TAMASHA LA SAMIA FASHION FESTIVE KULETA FURSA KWA WABUNIFI MAVAZI
Na Magrethy KatenguDar es salaam
Wabunifu wa mavazi nchini wameshauriwa kutumia fursa zinazojitokeza kuonesha kazi zao wanazozifanya ili waweze kujulikana na kuinuka kiuchumi.
Ushauri huo umetolewa...
BARNABA, JOH MAKINI WANOGESHA JOGGING YA UHAMASISHAJI KUJIANDIKISHA MKOANI PWANI
"Mjitokeze kwa wingi kwenye zoezi la uandikishaji wa wapiga kura, Natarajia kuona watu sita ndani ya kila saa ili tufikie malengo yetu ya uandikishaji...
AMANI NA UTULIVU NCHINI NI MSINGI WA BABA WA TAIFA HAYATI MWALIMU NYERERE –...
RAIS Mstaafi wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amani na utulivu ambayo nchi nyingi duniani na bara hili wanayaona nchini ni...
RC MTAMBI AZINDUA UANDIKISHAJI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA NA KUWAITA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara leo oktoba 11 amezindua zoezi la uandikishaji orodha ya wakazi kwenye daftari la wapiga kura kwenye uchaguzi...