DKT. KIRUSWA ALIELEZA BUNGE MANUFAA YA KAMPUNI YA TOL GASES RUNGWE, BUSOKELO
đź“ŤBungeni, Dodoma
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amelieleza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu manufaa yaliyopatikana kwa Halmashauri ya Wilaya ya...
VIJIJI VYOTE NEWALA VIMEFIKIWA NA UMEME – MHE. KAPINGA
đź“Ś Asisitiza dhamira ya Serikali ni kupeleka umeme maeneo yote
Naibu Waziri Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Vijiji vyote 76 vya Jimbo la ya Newala...
MAAJABU YA SIMU MPYA ZA INFINIX HOT 50 , TIGO KUTOA ZAWADI KWA WATAKAONUNUA
INFINIX HOT 50 SERIES ZENYE UBORA NA BEI NAFUU : Ukinunua simu hizi za Infinix Hot 50 Series utapata intaneti ya BURE kutoka Tigo kwa...
KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA VIWANGO , OKTOBA 30 , 2024 TBS WATOA...
Na Mwandishi Wetu.
KATIKA kuadhimisha Siku ya Viwango Duniani, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wadau na wananchi kwa ujumla kushiriki katika kuandaa na kutoa...
BANDARI YA MTWARA SASA TAYARI KUSHUGHULIKIA SHEHENA ZA KOROSHO
Na Mwandishi Wetu.
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetangaza kuwa Bandari ya Mtwara ipo tayari kushughulikia shehena yote ya korosho kwa ajili ya...
MDAU MAENDELEO ENOCK KOOLA AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO
Na Ashrack Miraji Kilimanjaro
Mdau wa Maendeleo, Enock Koola, amekabidhi Vifaa vya michezo alivyoahidi alipokuwa mgeni rasmi katika mahafali Shule ya Msingi na Sekondari...
TUNAIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA MIUNDOMBINU YA NISHATI ILI KUFIKISHA HUDUMA KWA WOTE- DKT.MATARAGIO
đź“Ś Asisitiza nia ya Serikali ni kutoa huduma stahiki bila kuangalia umbali au kipato
đź“Ś Apongeza kampuni ya Puma Energy Tanzania kushirikiana na Serikali uhamasishaji...
TIGO WAMWAGA SIMU ZA MKOPO KWA WATEJA WAO , MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA...
Na Mwandishi Wetu.
Mkurugenzi Uendeshaji, Tigo Pesa Bw. Arnold Ngarashi, akimpa mteja elimu kuhusu huduma ya simu za mkopo, katika wiki ya maadhimisho ya huduma...
“WIZARA YA NISHATI KUJA NA MPANGO WA KUNADI VITALU VYA UTAFUTAJI WA GESI NA...
Na Ashrack Miraji Tanga
WIZARA ya Nishati imesema kwamba wana mpango wa...
BANDARI YA TANGA SASA INASHUGHULIKIA MELI KUBWA BAADA YA UWEKEZAJI WA SHILINGI BILIONI 429.1
Na Mwandishi Wetu.
Utendaji wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa serikali wa Sh429.1 bilioni.
Bandari...